Unakaribia Kugundua...

Biashara Mpya, Rahisi Na Yenye Faida Kubwa Ambayo Watanzania Wengi Hawaijui...

...Pamoja Na Formula ya Hatua 8 Ambayo Mtu Yeyote Anaweza Kuitumia Kutengeneza 1M-3M Kila Mwezi Kupitia Biashara Hii.

Mpendwa msomaji,

Mwaka 2021, niligundua biashara moja ya ajabu sana ambayo inaleta Faida kubwa, lakini watu wengi Tanzania hawajui kuhusu hiyo biashara.


Nilikuwa nasoma kwenye mtandao wa Facebook na nikagundua kuwa kuna mwanamke alikuwa anaweka tangazo kila siku kwenye Facebook kwa gharama ya Tsh. 10,000/= kwa siku. 


Nilihesabu na kuona kuwa alitangaza mara 29 mwezi huo. 


Hii ni sawa na Tsh. 290,000/= kwa mwezi (10,000 x 29).


Kwa mtu kutumia pesa nyingi hivyo kwenye matangazo, ina maana hiyo biashara yake inalipa vizuri. 


Kama isingekuwa inalipa, asingekuwa anarudia kutangaza mara kwa mara.


Biashara aliyokuwa anafanya ni kuuza vifaa vya kukaza tumbo vinavyoitwa Waist Trimmers.


Lakini usidanganyike, bidhaa hiyo siyo biashara yenyewe — kuna kitu cha muhimu zaidi.


Alikuwa ananunua waist trimmers kutoka nje ya nchi kwa dola 2 (sawa na Tsh. 5,300/=) na kuziuza kwa Tsh. 75,000/= kila moja. 


Baada ya kutoa gharama za usafirishaji na nyinginezo, alikuwa anapata faida ya karibu Tsh. 40,000/= kwa kila moja.


Kama anauza waist trimmers 10 kila siku baada ya kutangaza, alikuwa anapata Faida ya Tsh. 400,000/= kwa siku!


Ni ajabu, sivyo?

Biashara hii inaitwa- Smart Ecommerce na inaweza kuwa na Faida kubwa.


Nilitaka kujua zaidi, hivyo nikajifunza vizuri kuhusu mfumo huo mpya wa biashara.


Bidhaa ya kwanza niliyoagiza ilikuwa ni ya Afya ya Uzazi Kwa Wanaume.


Niliagiza pisi 90 kwa jumla ya Tsh. 479,880/= (Pamoja na Usafirishaji). 


Kila kimoja kilinigharimu kama Tsh. 5,332/=

Angalia vizuri hapa chini.

Hapa nilikuwa tayari nimepokea mzigo wa bidhaa yangu niliyoagiza mwenyewe kutoka China.

Nilitangaza bidhaa hizo kwenye mtandao wa Facebook & Instagram na nikauza bidhaa zote ndani ya mwezi mmoja kwa bei ya Tsh. 75,000/= kila kimoja. 


Baada ya kutoa gharama zote (kama gharama za bidhaa, usafiri, matangazo, na vifungashio), nilibakiwa na Faida ya Tsh. 3,375,000/=

 

Milioni Tatu Laki Tatu Na Sabini Na Tano Elfu. 


Kwa mradi ulioanza na Tsh. 479,880 tu, hiyo ni Faida kubwa sana ndani ya mwezi mmoja.


Haya hapa matokeo ya mauzo yake...

Fikiria hilo — ni biashara gani nyingine unaweza kuanza kwa mtaji wa 479,880/= na kupata Faida ya Tsh. 3,375,000/= ndani ya mwezi mmoja?


Lakini cha kusikitisha ni kuwa watu wachache sana wanajua kuhusu biashara hii.

Biashara Hii Inafanya Kazi Kwa Kufuata Hatua Hizi Tatu Muhimu:

Hatua Ya Kwanza

Kutafuta bidhaa zisizo za kawaida zinazo saidia watu kutatua matatizo yao au kutimiza matamanio yao — hasa kutoka China.

Hatua Ya Pili

Kununua bidhaa hizo kwa bei ya chini kabisa na kuziingiza nchini Tanzania.

Hatua Ya Tatu

Kuuza bidhaa hizo kwa kutumia mbinu nzuri sana za matangazo ili kupata Faida kubwa.


Mara ya mwisho niliagiza bidhaa za Wristwatches (hizo hapa chini) kwa jumla ya Tsh. 1,042,088 (pamoja na usafirishaji), na ndani ya siku 30 nilitengeneza Tsh. milioni 5.2!


Haya hapa malipo ya kununua bidhaa hizo kutoka China...


Haya hapa Malipo ya Gharama  za Usafirishaji wa Mzigo wa Bidhaa hizo kutoka China...(Shipping Cost)


Haya hapa matokeo ya mauzo ya Bidhaa hizo...

Nimefundisha watu wachache biashara hii na maisha yao yamebadilika, kwani sasa hivi wanaingiza zaidi ya milioni 1 kama faida kila mwezi huku wakifanya kazi masaa 2 tu kwa siku.


Achana na BIASHARA ZA KITAPELI Kama Zile za kina KALYNDA Ecommerce, LBL Nk. Hizi zote ni PONZI SCHEM Za Kitapeli...

Kwa SABABU Hazina Phyiscal Products Zinazouza...

Yaani unaambiwa ucheze GAMES Tu kisha ulipwe Pesa Seious?


Iko Hivi Ili Utengeneze PESA HALALI Mtandaoni au nje ya Mtandao ni lazima Uwe...

 Na Bidhaa au Huduma Yenye Uthamani (Bidhaa Inayo Tatua Matatizo Au Kutimiza Matamanio Ya Watu Wengi) 

...Ebu Angalia Hapa Chini Jinsi Mfumo huu wa Biashara,

Unavyoniingizia MAOKOTO Masaa 24/7 Hata Kama Nimelala...